Friday, 25 February 2011

NAFASI ZA KAZI JESHI LA POLISI TANZANIA

Jeshi la polisi Tanzania linatangaza nafasi za ajira ya kazi ya polici waombaji wenye sifa kana ifiuatavyo:
a) Muombaji wa mtanzania kwa kuzaliwa

b) Awe n aafya njema iliyothibitishwa na daktari wa serikali

c) Muombaji awe hajaowa /kuolewa

d) Awe na tabia njema n asiwe n akumbukumbuku za uhalifu

e) Awe tayari kufanya kazi mahali popote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

i. Wataalamu wa Teknolojia y Habari Na Mawasiliano Network Engineeers –Nafasi 15(a) Elimu ya shahada au zaidi katika maswada ya Computer Engineeing, Data documentation, Computer science na Telecommucation Engiineering.
b) Umri usiozidi miaka 28

ii. Systems analysts /Programmers Nafasi 20

b) Elimu ya shahada au zaidi katika maswala ya soft ware Engineering,

computer science information Teknolojia au ya kufanana nayo kutoka vyou vinavyotambuylika na serikali

c) Umri usiozidi miaka 28


iii. GIS Data Management

(a) Elimu ya SHAHADA AU ZAIDI KATIKA Cartography au Geographic information system,Geography Computer Science au land Survey

(b) Umri usiozidi miaka 28


iv. GIS Technicians- Nafasi 5

(c) Elimu ya SHAHADA AU ZAIDI KATIKA Cartography au Geographic information

system,Geography Computer Science au land Survey

(d)Umri usiozidi miaka 28

Waombaji wenye sifa zilizoainishwa hapo juu watume maombi yao Kwa:

Inspekta Jenerali wa Polisi

Makao Makuu ya Polisi (T)
S.L.P.9141
DAR ES SALAAM