Wednesday, 21 August 2013

Waziri Mkuu Pinda Azinduwa Tawi la ACB DodomaWAJASIRIAMALI WADOGO NA WAKUBWA   MJINI DODOMA KUFAIDIKA SASA  NA 
ACB COMMERCIAL  BANK
Banki inayongoza kwa kuwafaidisha wajasiriamali wakubwa, wakati na wadogo kwa mikopo inayo mjali mjasiriamali zaidi. Banki ya ACB hutoa mikopo kama  Biashara loan, solidarity loan, Home improvement , consumer loan  na mingine mingi kulingana na mahitaji ya mteja. Kwa maelezo zaidi fika katika tawi la bank lililopo karibu nawe. ( BANK WA MAENDELEO YAKO)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi la kumi na sita la Bank ya Akiba Commercial Bank mkoani Dodoma wanao shuhudia. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa ACB, Jonh Lwande na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi anaye fuatia ni Kaimu wa bodi ya Wakurugenzi ACB, Bi. Elizabeth Minde (Picha na Chris Mfinanga)

http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/04/IMG_1297.jpg

Waziri Mkuu Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ACB Bi.Elizabeth Minde.

http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/04/IMG_1282.jpg
Jengo la Tawi hilo kama linavyoonekana pichan


 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa tawi hilo