find more job local and international,We are here to help you get job you want at a right time, make sure you subscribe to our blog as a member in order to send you a current job,
Sunday, 16 December 2012
JE VITENDO AU MANENO HUDHIHIRIKA KWANZA? LAUWO KAZI KWETU
LAUWO DEC 2012
Napenda kuwakumbusha wale ndugu zangu wakina lauwo kwamba muda tuliokuwa tukiusubiri kwa hamu umefika, ila je ni vitendo au maneno hudhihirika kwa urahisi? usinipe jibu ila jibu unalo peke yako kuhusu ahadi yetu ya kukutana moshi mwezi huu, kama sitakuwepo basi mtaniwia rathi kwani mimi nitaungana na wale watakao baki dar es salaam, kusubiri kitakacho jiri huko moshi kwani ndipo babu zetu walipokuwa wakifanya vikao vya pamoja.
Nipende kuwakumbusha kwamba kuna siku niliweka mamba yangu ya simu kwenye mtandao ili tutafutane ila nilimpata mtu mmoja tuu ambae ni joe, japokuwa hatukuweza kukutana ana kwa ana bali naimani na matumaini watakao kuwepo moshi wataniwakilisha , ushirikiano daima vijana wa kina lauwo.
Ili kuhakikisha jambo hili litafanikiwa huko moshi tuondoe tofauti zetu, za kuhusu muda, ulichonacho mfukoni, ubusy na mambo mengine mengi binadamu wa kawaida hupenda kujitetea nayo
Wednesday, 10 October 2012
IT PAY TO KNOW HOW TO PURCHASE KNOWLEDGE
The person who stops to studying merely because he has finished school is forever hopelessly doomed to mediocrity no matter what may be his calling, the way of success is the way of continuous pursuit of knowledge.
Monday, 23 July 2012
mtazamo wangu kuhusu kukutana kwenye ubarikio
Ni jambo la kusara na la heri kukutana wakati wa sikukuu kwani ndugu jamaa huletwa karibu wakati wa furaha na inakuwa ni rahisi kujuana na kukumbukana kwa matukio ya sikukuu hizo.
Je? isingekuwa jambo la muhimu kukakutana kwa makundi ili ifikapo december ikawa nirahisi kujumuika kwa pamoja nikiwa na maana hii, makundi ; namaanisha kutoka mikoa mbali mbali kwa mfano kwa walioko
Ila makundi haya yatakuwa na kiongozi mmoja ambaye atakuwa anawafahamu japo kwa majina na namba za simu waliopo kwenye kundi lake, ili ifikapo mwezi wa dec ( kuhiji ) basi iwe rahisi kupeana taarifa nani kafika na nani hajafika,
Umuhimu wa makundi haya:
1. Kukiwa na jambo kama harusi ni rahisi kupeana taarifa.
namaanisha kuwa kuna dada zetu wanaolewa inapofika zamu ya kaka, inakuwa aibu,
kwa upande mwingine ni kwetu sisi. Kwa mpango huu inakuwa raisi kuchagiana angalau kidogo kulingana na uwezo wa alicho nacho mtu mfukoni na kikaonekana kikubwa kwani ni cha pamoja.
2. wakati wa matatizo nirahisi kumfikishia kiongozi wako, wa kundi la mkoa uliopo na akawafikishia wengine taarifa si mpaka juje kusikia kwa mtu back
3. Taarifa za kazi , japokuwa wengi hawapendi ila mimi nasema, (niseme!!!!!!!)
hatakama itakuwa ngumu basi mfikishie taarifa mtu apigane mwenyewe kwenye mchakato wa interview
4. naomba nimalizie kesho faida hizi na mwenye faida na mchango kama huu au kinyume basi nenda sehemu ya comment uweke. ili tuweze kujumuika kwa upamoja kama .........................................
Je? isingekuwa jambo la muhimu kukakutana kwa makundi ili ifikapo december ikawa nirahisi kujumuika kwa pamoja nikiwa na maana hii, makundi ; namaanisha kutoka mikoa mbali mbali kwa mfano kwa walioko
Dar es salaam kundi la 1
Arusha kundi la 2
Mwanza kundi la 3
Mbeya kundi la 4
Kilimanjaro kundi la 5
Manyara kundi la 6
Singida kundi la 7
Dodomakundi la 8
Morogoro la 9, na kuendelea kwa walioko ndani ya nchi ya tanzania lakini kwa walioko nje ya nchi hatutawasahau kwani tutawapa kundi maalumu nikiwa na maana kuwa ni vigumu kutaja nchi zote wanapoishi,Ila makundi haya yatakuwa na kiongozi mmoja ambaye atakuwa anawafahamu japo kwa majina na namba za simu waliopo kwenye kundi lake, ili ifikapo mwezi wa dec ( kuhiji ) basi iwe rahisi kupeana taarifa nani kafika na nani hajafika,
Umuhimu wa makundi haya:
1. Kukiwa na jambo kama harusi ni rahisi kupeana taarifa.
namaanisha kuwa kuna dada zetu wanaolewa inapofika zamu ya kaka, inakuwa aibu,
kwa upande mwingine ni kwetu sisi. Kwa mpango huu inakuwa raisi kuchagiana angalau kidogo kulingana na uwezo wa alicho nacho mtu mfukoni na kikaonekana kikubwa kwani ni cha pamoja.
2. wakati wa matatizo nirahisi kumfikishia kiongozi wako, wa kundi la mkoa uliopo na akawafikishia wengine taarifa si mpaka juje kusikia kwa mtu back
3. Taarifa za kazi , japokuwa wengi hawapendi ila mimi nasema, (niseme!!!!!!!)
hatakama itakuwa ngumu basi mfikishie taarifa mtu apigane mwenyewe kwenye mchakato wa interview
4. naomba nimalizie kesho faida hizi na mwenye faida na mchango kama huu au kinyume basi nenda sehemu ya comment uweke. ili tuweze kujumuika kwa upamoja kama .........................................
Saturday, 21 July 2012
Guide For Writing a Business Plan (Utaratibu wa kuandika mpangilio wa biashara)
What goes into a business plan?
There is no single formula for developing a business plan, but some elements are consistent throughout all business plans. Your plan should include an executive summary, a description of the business, a plan for how you will market and manage your business, financial projections and the appropriate supporting documents.
To help you get started in writing your business plan, we have summarized the essential elements in the following outline.

Elements of a Business Plan
-
Cover sheet
-
Executive summary (statement of the business purpose)
-
Table of contents
-
Body of the document
-
Business
-
Description of business
-
Marketing
-
Competition
-
Operating procedures
-
Personnel
-
Business insurance
-
Description of business
-
Financial data
-
Loan applications
-
Capital equipment and supply list
-
Balance sheet
-
Breakeven analysis
-
Profit and loss statements
-
Three-year summary
-
Detail by month, first year
-
Detail by quarters, second and third year
-
Assumptions upon which projections were based
-
Pro-forma cash flow
-
Loan applications
-
Supporting documents
-
Tax returns of principals (partners in the business) for last three
years, personal financial statements (all banks have these forms)
-
Copy of franchise contract and all supporting documents provided by the franchisor (for franchise businesses)
-
Copy of proposed lease or purchase agreement for building space
-
Copy of licenses and other legal documents
-
Copy of resumes of all principals
-
Copies of letters of intent from suppliers, etc.
-
Tax returns of principals (partners in the business) for last three
years, personal financial statements (all banks have these forms)
-
Business
10 Steps to Starting a Business ( njia 10 za kuanzisha biashara ndogo)
Step 1: Write a Business Plan
Use these tools and resources to create a business plan. This written guide will help you map out how you will start and run your business successfully.Step 2: Get Business Assistance and Training
Take advantage of free training and counseling services, from preparing a business plan and securing financing, to expanding or relocating a business.Step 3: Choose a Business Location
Get advice on how to select a customer-friendly location and comply with zoning laws.Step 4: Finance Your Business
Find government backed loans, venture capital and research grants to help you get started.Step 5: Determine the Legal Structure of Your Business
Decide which form of ownership is best for you: sole proprietorship, partnership, Limited Liability Company (LLC), corporation, S corporation, nonprofit or cooperative.Step 6: Register a Business Name ("Doing Business As")
Register your business name with your state government.Step 7: Get a Tax Identification Number
Learn which tax identification number you'll need to obtain from the IRS and your state revenue agency.Step 8: Register for State and Local Taxes
Register with your state to obtain a tax identification number, workers' compensation, unemployment and disability insurance.Step 9: Obtain Business Licenses and Permits
Get a list of federal, state and local licenses and permits required for your business.Step 10: Understand Employer Responsibilities
Learn the legal steps you need to take to hire employees.Friday, 13 July 2012
Operations Clerk 'B'
Operations Clerk 'B'
Tanzania Ports AuthorityDate Listed: Jul 13, 2012
Phone: No Calls Please
Area: Tanga
Application Deadline: Jul 25, 2012
Position Description:
GRADE: TPGS 3
TERMS OF EMPLOYMENT: Contract for unspecified period
REQUIRED QUALIFICATIONS AND WORKING EXPERIENCE
Form IV / VI
Operations Clerk 'B'/Basic Technician Certificate in Shipping and Operations Management
At least one year working experience in Port Industry
Computer literate
DUTIES
Maintain in safe custody operational records.
Raises rent memos and miscellaneous Port charges.
Perform any other duties as assigned from time to time.
Application Instructions:
Applications should be accompanied with copies of relevant certificates indicating current position, Age, marital status, basic education and working experience.
Application should be addressed to:
The Port Master
P.O.Box 443
TANGA
Operations Clerk 'C' (2 Posts)
Operations Clerk 'C' (2 Posts)
Tanzania Ports AuthorityDate Listed: Jul 13, 2012
Phone: No Calls Please
Area: Tanga
Application Deadline: Jul 25, 2012
Position Description:
GRADE: TPGS 2
TERMS OF EMPLOYMENT:Contract for unspecified period
REQUIRED QUALIFICATIONS AND WORKING EXPERIENCE
Form IV/ VI
Operations Clerk 'C' Certificate/Basic Technician Certificate in Shipping and Operations Management
At least one year working experience in Port Industry
Computer literate
DUTIES
Performs tallying and maintains records of movement cargo.
Assist the Assistant Operations Officer to capture shift operations records.
Maintain record of fuel supply to equipment.
Perform any other duties as assigned from time to time
Application Instructions:
Applications should be accompanied with copies of relevant certificates indicating current position, Age, marital status, basic education and working experience.
Application should be addressed to:
The Port Master
P.O.Box 443
TANGA
Thursday, 12 July 2012
VIJANA WA KINA LAUWO KUJIFUNZE KWA BABU ZETU
ningependa kuwafahamisha kuwa ningependa kufufua umoja wa wanalauwo waishio ndani na nnje ya tanzania , nia na madhumuni ni kuwaleta pamoja wana lauwo wote, huu ni mtazamo ambao ulianzishwa na babu zetu enzi hizo lakini kwa kipindi chao ilikuwa ngumu kwani mawasiliano hayakuwa ya kisasa kama sasa. Labda kwa kumbukumbu niwakumbushe vijana wenzangu wakina lauwo kuwa kuna Mchungaji JACKOB LAUWO ambaye sasa ni marehemu, Christophoro lauwo marehemu na wengi, Epafra Lauwo, apeli lauwo, Biliam lauwo, na wengi nilio wasahau enzi nikiwa na umri wa miaka kama kumi na moja, walijitahidi kufanya vikao vya kuleta ukoo wetu pamoja lakini ikashindikana kwani mawasiliano hayakuwa mazuri kama sasa, Cha kufanya ni bora sisi tunaokuwa kuwa na umoja wetu wa vijana wa kinalauwo ndio utakao tupa mwelekeo wa kujuana kwa ukaribu zaidi. kwenye face book nilitoa namba yangu yasimu, na nimeanja kupokea simu kwa vijana wenzangu wa kinalauwo. Nina idadi ya watu kumi sasa waishio dar es salaam. Asanteni
Wednesday, 23 May 2012
umoja wa vijana
si jambo la rahisi kusikia kuwa umoja wa vijana wa chama chochote kiwe cha siasa au cha kijamii wamefanya migomo kwani huwa na walezi na washauri kwa ajili ya kukijenga chama hicho kimaadili
Subscribe to:
Posts (Atom)