find more job local and international,We are here to help you get job you want at a right time, make sure you subscribe to our blog as a member in order to send you a current job,
Sunday, 16 December 2012
JE VITENDO AU MANENO HUDHIHIRIKA KWANZA? LAUWO KAZI KWETU
LAUWO DEC 2012
Napenda kuwakumbusha wale ndugu zangu wakina lauwo kwamba muda tuliokuwa tukiusubiri kwa hamu umefika, ila je ni vitendo au maneno hudhihirika kwa urahisi? usinipe jibu ila jibu unalo peke yako kuhusu ahadi yetu ya kukutana moshi mwezi huu, kama sitakuwepo basi mtaniwia rathi kwani mimi nitaungana na wale watakao baki dar es salaam, kusubiri kitakacho jiri huko moshi kwani ndipo babu zetu walipokuwa wakifanya vikao vya pamoja.
Nipende kuwakumbusha kwamba kuna siku niliweka mamba yangu ya simu kwenye mtandao ili tutafutane ila nilimpata mtu mmoja tuu ambae ni joe, japokuwa hatukuweza kukutana ana kwa ana bali naimani na matumaini watakao kuwepo moshi wataniwakilisha , ushirikiano daima vijana wa kina lauwo.
Ili kuhakikisha jambo hili litafanikiwa huko moshi tuondoe tofauti zetu, za kuhusu muda, ulichonacho mfukoni, ubusy na mambo mengine mengi binadamu wa kawaida hupenda kujitetea nayo