Je? isingekuwa jambo la muhimu kukakutana kwa makundi ili ifikapo december ikawa nirahisi kujumuika kwa pamoja nikiwa na maana hii, makundi ; namaanisha kutoka mikoa mbali mbali kwa mfano kwa walioko
Dar es salaam kundi la 1
Arusha kundi la 2
Mwanza kundi la 3
Mbeya kundi la 4
Kilimanjaro kundi la 5
Manyara kundi la 6
Singida kundi la 7
Dodomakundi la 8
Morogoro la 9, na kuendelea kwa walioko ndani ya nchi ya tanzania lakini kwa walioko nje ya nchi hatutawasahau kwani tutawapa kundi maalumu nikiwa na maana kuwa ni vigumu kutaja nchi zote wanapoishi,Ila makundi haya yatakuwa na kiongozi mmoja ambaye atakuwa anawafahamu japo kwa majina na namba za simu waliopo kwenye kundi lake, ili ifikapo mwezi wa dec ( kuhiji ) basi iwe rahisi kupeana taarifa nani kafika na nani hajafika,
Umuhimu wa makundi haya:
1. Kukiwa na jambo kama harusi ni rahisi kupeana taarifa.
namaanisha kuwa kuna dada zetu wanaolewa inapofika zamu ya kaka, inakuwa aibu,
kwa upande mwingine ni kwetu sisi. Kwa mpango huu inakuwa raisi kuchagiana angalau kidogo kulingana na uwezo wa alicho nacho mtu mfukoni na kikaonekana kikubwa kwani ni cha pamoja.
2. wakati wa matatizo nirahisi kumfikishia kiongozi wako, wa kundi la mkoa uliopo na akawafikishia wengine taarifa si mpaka juje kusikia kwa mtu back
3. Taarifa za kazi , japokuwa wengi hawapendi ila mimi nasema, (niseme!!!!!!!)
hatakama itakuwa ngumu basi mfikishie taarifa mtu apigane mwenyewe kwenye mchakato wa interview
4. naomba nimalizie kesho faida hizi na mwenye faida na mchango kama huu au kinyume basi nenda sehemu ya comment uweke. ili tuweze kujumuika kwa upamoja kama .........................................