Saturday, 16 April 2011

chupa za konyagi dili

kampuni ya konyagi sasa inanunua chupa za konyagi zilizotumika. Aina zote chupa kubwa na ndogo. Kusanya chupa na upeleke kwa wakala aliyeteuliwa aliye karibu nawe. Angalia kwenye matangazo yaliyobandikwa kwenye baa ilyo karibu nawe.