Saturday, 12 March 2011

WADAU KWA BABU LOLIONDO VIPI? KWA UKWELI AU!

wadau mnamtazamo gani kuhusu babu wa loliondo, mimi mwenyewe na washikadau niliozungumzanao ana kwa ana wanasema babu loliondo ni wa ukweli. Kama una maoni andika kwenye sehemu ya comment chini ya post hizi. Asante