WAJASIRIAMALI WADOGO NA WAKUBWA MJINI DODOMA KUFAIDIKA SASA NA
ACB COMMERCIAL BANK
Banki inayongoza kwa kuwafaidisha wajasiriamali wakubwa, wakati na wadogo kwa mikopo inayo mjali mjasiriamali zaidi. Banki ya ACB hutoa mikopo kama Biashara loan, solidarity loan, Home improvement , consumer loan na mingine mingi kulingana na mahitaji ya mteja. Kwa maelezo zaidi fika katika tawi la bank lililopo karibu nawe. ( BANK WA MAENDELEO YAKO)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi la
kumi na sita la Bank ya Akiba Commercial Bank mkoani Dodoma wanao
shuhudia. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa ACB, Jonh Lwande na kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi anaye fuatia ni Kaimu wa
bodi ya Wakurugenzi ACB, Bi. Elizabeth Minde (Picha na Chris Mfinanga)
Waziri Mkuu Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ACB Bi.Elizabeth Minde.
Jengo la Tawi hilo kama linavyoonekana pichan