Sunday, 16 December 2012

JE VITENDO AU MANENO HUDHIHIRIKA KWANZA? LAUWO KAZI KWETU

        

        LAUWO  DEC 2012

 Napenda kuwakumbusha wale ndugu zangu wakina lauwo kwamba muda tuliokuwa tukiusubiri kwa hamu umefika, ila je ni vitendo au maneno hudhihirika kwa urahisi? usinipe jibu ila jibu unalo peke yako kuhusu ahadi yetu ya kukutana moshi mwezi huu, kama sitakuwepo basi mtaniwia rathi kwani mimi nitaungana na wale watakao baki dar es salaam, kusubiri kitakacho jiri huko moshi kwani ndipo babu zetu walipokuwa wakifanya vikao vya pamoja.
          Nipende kuwakumbusha kwamba kuna siku niliweka mamba yangu ya simu kwenye mtandao ili tutafutane ila nilimpata mtu mmoja tuu ambae ni joe, japokuwa hatukuweza kukutana ana kwa ana bali naimani na matumaini watakao kuwepo moshi wataniwakilisha , ushirikiano  daima  vijana wa kina lauwo.
          Ili kuhakikisha jambo hili litafanikiwa huko moshi tuondoe tofauti zetu, za kuhusu muda, ulichonacho mfukoni, ubusy na mambo mengine mengi binadamu wa kawaida hupenda kujitetea nayo